Mafunzo maalum kwa watoa huduma wa tiba asili, tiba za kisuna na tiba mbadala nchini Tanzania Specialized training for traditional medicine, alternative therapy, and herbal medicine practitioners in Tanzania
Mafunzo haya yameandaliwa mahsusi kwa watoa huduma wa tiba asili ili kuongeza maarifa ya kisayansi kuhusu mwili wa binadamu. This training is specifically designed for traditional medicine practitioners to enhance scientific knowledge about the human body.
Muundo na utendaji wa mwiliBody structure & function
Sababu na dalili za magonjwaCauses & symptoms
Afya ya jamii na usaidizi wa dharuraCommunity health & emergency aid
Kanuni za kimaadili katika utoaji wa hudumaEthical standards in service delivery
Mafunzo haya yatakupa uelewa wa kina wa mwili wa binadamu na kuboresha ufanisi wa matibabu yako This training will give you deep understanding of the human body and improve your treatment effectiveness
Jifunze misingi ya anatomia na fiziolojia kwa urahisi hata kama huna elimu ya udaktari Learn anatomy and physiology basics easily even without medical education background
Elewa uhusiano kati ya dalili, viungo, na tiba zako za asili Understand the relationship between symptoms, organs, and your traditional remedies
Ongeza uaminifu wa wagonjwa kwa huduma zenye weledi na uelewa wa kisayansi Build patient trust with professional, scientifically-informed services
Pata uzoefu wa vitendo katika kutambua viungo na kazi zake Get hands-on experience in identifying organs and their functions
Pata cheti cha ushiriki kinachotambulika kitaaluma Receive a professionally recognized participation certificate
Jiunge na watoa huduma wengine na kubadilishana uzoefu Connect with other practitioners and share experiences
Mafunzo yamegawanywa katika moduli nne kuu zinazojumuisha nadharia na vitendo Training is divided into four main modules covering theory and practice
Muundo wa mwili wa binadamu na jinsi viungo mbalimbali vinavyofanya kazi pamoja Human body structure and how various organs work together
Sababu za msingi zinazochangia kutokea kwa magonjwa na dalili zake Root causes of diseases and their symptoms
Mbinu za kutoa huduma za dharura na kusaidia jamii kudumisha afya Emergency care techniques and community health maintenance
Kanuni za kimaadili na miiko katika utoaji wa huduma za tiba asili Ethical principles and taboos in traditional medicine service delivery
Mafunzo yataendeshwa na madaktari na wataalamu wa afya wenye uzoefu mkubwa Training will be conducted by experienced doctors and health professionals
Daktari mwenye uzoefu zaidi ya miaka 15 katika tiba na elimu ya afya Doctor with over 15 years of experience in medicine and health education
Mtaalamu wa anatomia na fiziolojia mwenye uzoefu wa kufundisha watoa huduma wa tiba asili Anatomy and physiology specialist with experience teaching traditional medicine practitioners
Md, MMED (Emergency Medicine), Mkufunzi mwenye uzoefu wa magonjwa ya dharura na ajali MD, MMED (Emergency Medicine), Experienced instructor in emergency and accident medicine
Mtaalamu wa tiba asili mwenye uzoefu wa miaka 20 katika utoaji wa huduma na ufundishaji Traditional medicine expert with 20 years of experience in service delivery and teaching
Ada inajumuisha chakula, gharama za mafunzo, na cheti cha ushiriki Fees include meals, training materials, and participation certificate
Ada kamili kwa raia wa Tanzania Full fee for Tanzanian citizens
Ada kwa wageni wa kimataifa Fee for international guests
Jiandikisha sasa na uwe mtoa huduma wa tiba asili anayeelewa mwili wa binadamu kwa kina Register now and become a traditional medicine practitioner who deeply understands the human body
Tarehe ya mwisho: 09-08-2026 Deadline: 09-08-2026